hii ni picha ya kwanza

naweza nikaweka picha utakayo wewe.

123

Saturday, 26 January 2019

ASANTE MUNGU NA MARAFIKI ZANGU, JANUARI 26 (KUKUMBUKA KUZALIWA)

Napenda kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha. Naamini Mungu alikuwa  na makusudi ya mimi kuwepo katika hii dunia katika kizazi hiki na majira haya. Sifa na shukrani nampa yeye. Namshukuru Mungu kwa kuzaliwa kwangu na hata kunifanya mtu niliyeko leo. Mungu amenipa neema yakuwa mikononi mwake na kunilinda mchana na usiku kwa masaa yote Zaidi ya  227,760 sawa na miaka 26 niliyofanikiwa kuishi hapa duniani. Kipekee sana namshukuru Mungu kwa ajili ya wazazi wangu (Grace na Manase) pamoja na ndugu zangu wakike na wakiume (Elia, Eliaichi,...