CHANGAMOTO ZA MAISHA
Changamoto za misha zipo tokea enzi za mababu zetu. Hata changamoto tunazozipitia katika maisha yetu sasa si za kwanza wala hazitakuwa za mwisho pia. Kila mtu ana namna ya changamoto anazokumbana nazo. Ambazo zinaweza kuwa changamoto za
Uchumi kuyumba,
Ugonjwa au magonjwa,
Kukosa mtoto,
Kukataliwa na ndugu,
Kufeli mtihani
N.k
Hizo ni changamoto chache tuu ambazo nimeweza kuziorodhesha hapo. Kama una changamoto unayoipitia katika maisha yako, tambua kwamba wewe hautakuwa wa kwanza kukumbana nayo, nawala si wa mwisho kuipitia...
hii ni picha ya kwanza
naweza nikaweka picha utakayo wewe.
Hii ni picha nyingine
nitaweka picha utakayo wewe.
Hii ni picha nyingine tena
Nitaweka picha upendayo wewe pia
Monday, 14 September 2015
Thursday, 3 September 2015
MSONGO WA MAWAZO
02:52
No comments
JINSI YA KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO,
Msongo wa mawazo ama stress kwa kiingereza, ni tatizo ambalo kwa bahati mbaya sana limeendelea kuwa kitu cha kawaida sana kwa wanaadamu katika zama tulizo nazo. Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabisa kusema kuwa, takriban wanaadamu wote walio hai wamekuwa wakikabiliwa na tatizo hili.
Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka...
USHAURI KWA NATUMIZI YA MTANDAO
02:15
No comments
SOMA
ninachoamini watu wote wanaotumia social media kama
hii, wana uwezo wa kusoma na kuandika kama wewe ulivyo.
hebu jaribu kusoma hapa inaweza ikakusaidia kwa namna moja
au nyingine!
umewahi kujiuliza, kuna utofauti gani kati ya maisha ya watu
walioishi zamani miaka hamsini iliyopita na sisi ambao tunaishi
leo?
nadhani utakubaliana na mimi kuwa watu wa kale walikuwa hawajui
mambo mengi kama ilivyo leo hii. leo watu wanafahamu mambo yao
pamoja na mambo ya wengine tena mbaaali kabisa. kwa mafano
unaweza ukawa unajua mila za kwenu na mila...
Subscribe to:
Posts (Atom)