hii ni picha ya kwanza

naweza nikaweka picha utakayo wewe.

123

Sunday, 21 August 2016

8 Ways Satan Keeps You From Worship

8 Ways Satan Keeps You From Worship Satan wants to keep you from worshipping the One he hates. He wants to keep you from doing the right thing, whether that is spending time alone with the Lord in Scripture and prayer, attending and participating in public worship services, or any other thing that will draw you closer to the Lord. Here, courtesy of Thomas Brooks, are eight ways Satan will keep you from worship. Here’s how I would encourage you to use the list. Think of the times that you decide to stay in bed instead of getting...

Friday, 27 November 2015

MATAJIRI WAKUBWA DUNIANI

It's good to have goals. If you're aiming to be among the top 10 richest people in the world, you might be interested in learning who you might have to displace. It can be instructive to review a list of the top 10 richest people in the world for other reasons, too, such as learning how they achieved their wealth and just how wealthy they are. The top 10 richest people in the worldFirst off, here are the top 10: Rank Name Net Worth Source of Wealth 1 Bill Gates $79.2 billion Microsoft 2 Carlos Slim Helu & family $77.1 billion telecommunications 3 Warren...

Monday, 14 September 2015

CHANGAMOTO ZA MAISHA

CHANGAMOTO ZA MAISHA Changamoto za misha zipo tokea enzi za mababu zetu. Hata changamoto tunazozipitia katika maisha yetu sasa si za kwanza wala hazitakuwa za mwisho pia. Kila mtu ana namna ya changamoto anazokumbana nazo. Ambazo zinaweza kuwa changamoto za Uchumi kuyumba, Ugonjwa au magonjwa, Kukosa mtoto, Kukataliwa na ndugu, Kufeli mtihani N.k Hizo ni changamoto chache tuu ambazo nimeweza kuziorodhesha hapo. Kama una changamoto unayoipitia katika maisha yako, tambua kwamba wewe hautakuwa wa kwanza kukumbana nayo, nawala si wa mwisho kuipitia...

Thursday, 3 September 2015

MSONGO WA MAWAZO

JINSI YA KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO, Msongo wa mawazo ama stress kwa kiingereza, ni tatizo ambalo kwa bahati mbaya sana limeendelea kuwa kitu cha kawaida sana kwa wanaadamu katika zama tulizo nazo. Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabisa kusema kuwa, takriban wanaadamu wote walio hai wamekuwa wakikabiliwa na tatizo hili. Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka...

USHAURI KWA NATUMIZI YA MTANDAO

SOMA ninachoamini watu wote wanaotumia social media kama hii, wana uwezo wa kusoma na kuandika kama wewe ulivyo. hebu jaribu kusoma hapa inaweza ikakusaidia kwa namna moja au nyingine! umewahi kujiuliza, kuna utofauti gani kati ya maisha ya watu walioishi zamani miaka hamsini iliyopita na sisi ambao tunaishi leo? nadhani utakubaliana na mimi kuwa watu wa kale walikuwa hawajui mambo mengi kama ilivyo leo hii. leo watu wanafahamu mambo yao pamoja na mambo ya wengine tena mbaaali kabisa. kwa mafano unaweza ukawa unajua mila za kwenu na mila...

Tuesday, 6 January 2015

angalia uchekeke kidog...
picha za godlove materu picha za godlove materu picha za godlove materu ...